Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora yahamia Dodoma rasmi leo

Sijui kile kitengo cha masijala yenye faili za zamani za watumishi nacho kama kimehama.
Kuna mahusiano makubwa kati ya kitengo kile na kile cha pension Hazina, sasa itakuwaje? Malipo Dar faili Dodoma? Ndio ufanisi huo?
Hivi na bandari (Tanzania ports authority) si nilisikia nao wanapaswa kuhamia dodoma!?
 
Back
Top Bottom