Ofisi ya rais, Tume ya utumishi wa umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya rais, Tume ya utumishi wa umma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Misspina, May 12, 2011.

 1. M

  Misspina Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni ofisi zilizopo katika Mikoa na Wilaya zote TZ
  Kilichonipelekea kuandika thread hii ni utofauti wa hadhi ya JINA na MAZINGIRA YA OFISI HIZI. Ofisi ni chakavu na hazina hata vitendea kazi. Wateja ndio wanaambiwa watoe photocopy na hata kuprint barua zao mitaani. Hata unapoongea na watumishi wanasikitika hali c nzuri ktk ofisi hizo.
  Wafanyakazi wengi wanaacha kazi kutokana na mazingira hayo magumu. Kwa kuwa najua wahusika wengi wapo hapa JF tafadhalini waungwana hebu badilisheni hadhi ya ofisi hizi ifanane na jina lake.
  Nawasilisha.
   
 2. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wakati huo huo kinondoni mkurugenzi analipiwa chai milion Tsh 8.5, ulinzi milioni 90(kama vil hatuna polisi na hata sijui , hapo kwa mwezi ni karibu milion 10 sijui ni kampuni gani hiyo) nguo za madiwani 100
  hivi ni lini tutaweka vipaumbele kulingana na umuhimu wake

   
 3. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunaomba wahusika wafanyie kazi ili huduma bora zitolewe kwa walimu ambao ndio wahudumiwa wakuu ktk ofisi za wilaya na mikoa.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  rais si ndo kiongozi wa magamba. unategeme nn km sio kuona magamba ofisi zake zote.
   
 5. M

  Misspina Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ila bado anayonafasi ya kuvua gamba na ofisi hizi pia maana walimu wanateseka.
   
 6. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2014
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 1,460
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini hii tume haina website? Naombeni namba ya simu ya ofisi hii kwa Dar es salaam.
   
Loading...