Ofisi ya rais mstaafu Mkapa iko hotel gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya rais mstaafu Mkapa iko hotel gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kausha, Oct 18, 2012.

 1. k

  kausha Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nilikuwa na shida na Ofisi ya MKAPA iliyoko mtaa wa Ohio nilipofika hapo nilikutana na uzio wa mabati nilidhani inakarabatiwa niliuliza ilipohamia kwa niliyemkuta hapo alinijibu kwamba Mkapa alikuwa amevamia ameshindwa kesi ameondolewa, nyumba hiyo imevunjwa na Mhindi ambaye ndiye mmiliki mpya ofisi ya Mkapa meahamishiwa hotelini je kuna anayejua vizuri habari hii?
   
 2. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,435
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  da ungepata no yake ya cmu

  au ya mtu wa karibu yake ingekua safi.

  tusubiri wanaojua labda.
   
 3. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2015
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 3,978
  Likes Received: 2,119
  Trophy Points: 280
  Mkuu ulifanikiwa?
   
Loading...