Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
hahahaaaa
 
Hapa kuna maelezo ya hawa watia nia yaliyojificha ,lakini yanaonekana kwa vitendo .
 
da sijui nifanye lobbying gani nipate nafasi ya ole sendeka nnachofanya nikipata ukuu wa mkoa naenda kuchukua bonge la mkopo nikitumbuliwa benki itajijua da ila watu wana dharau sana rais anasema hivi wao wameweka masikio pamba hapa ndio rais aamini alikua anaishi na wanafiki wengi sana na wengine bado wako kwenye system
 
Kuna haja ya kuwaongezea mishahara RCs na DCs na kuzuia ile possibility ya kuwatumbua majukwaani kwa matakwa ya mtu mmoja
 
IMG-20200716-WA0000.jpg
🤣🤣🤣
 
Tangu Nov 2015 Nazi imekuwa kutumbua na kuteua hadi awamu ya miaka mitano inaisha zoezi hilo linaendelea.
Inavyoelekea ni kama kila siku nchi hii iko kwenye uchaguzi, ingawa wenye mtizamo tofauti wanazuiliwa.
Njmeona Leo wakati wateule wapya wakiapishwa, Rais anaonesha kutumia muda mwingi kuwafuatilia wateule wake. Lakini nchi hii ni kubwa, wakuteuliwa ni wengi, hatuwezi kubadili mtindo huu sasa?
 
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Nafikiri watu wamechoka na ukuu wa mkoa na wilaya au nafasi nyingine za kuteuliwa na rais kwani hawana uhuru wa raha. Hili halisemwi kwa sasa lakini ndio hivyo.
 
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Kinachoendela kinaelezea hali ilivyo katika uongozi na madhara ya kutowapa wateuliwa heshima stahili. Uongozi umedhoofishwa na uteuzi umekosa maana. Vijana wa mjini wanaiita hii jeshi la mtu mmoja. Halishindi vita
 
Back
Top Bottom