Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Kuna umuhimu wa kumpunguzia Rais mamlaka au kufutilia mbali hivyo vyeo vyenye muelekeo wa ukada na uccm!

Haya mambo ya kuteua na kutengua hayana tija yoyote ile kwa sisi walipa kodi, zaidi tu ya kuzitumia hela zetu vibaya kwa kuwalipa posho za kujikimu na pia hela nyingi za uhamisho kwa hao wateule wapya.
 
Eeeh nani anamdanganya Ole Sendeka, Simanjiro hawezi shinda hata kwa 10%, hivi hawa watu mtu hata tathmini yake au kukubaliwa kwake na wananchi hajui, akidanganywa na watu wawili, mmoja mke wake, mwingine mchepuko, mara rafiki wa karibu anadhania anakubalika sanaaaaa, Ole Sendeka ndio byee byeee hiyooo, hutamuona tena, kwanza hakuwa mtendaji mzuri hata kidogo, hiyo ni fursa kwa Mh. Rais kuchagua Mkuu wa Mkoa mpya mzuri
 
Back
Top Bottom