Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, yateketea kwa Moto!.

Binafsi nimefurahishwa sana na tukio hili!! Ni lini mamlaka zetu zitajituma kufanya kazi kwa ufasaha? Eti gari lilifika eneo la tukio na maji kiduchu!! Uzembe gani huo wakati linatakiwa liwe na maji 24 hours? Na mengine mawili yapo ila sijuo kilichoyasibu, laba ni grounded au limeharibika kidogo tu bila matengenezo? Siku hizi ofisi kubwa nyingi wanatakiwa wachimbe visima eneoo la ofisi kwa ajili ya majanga ya moto, sifahamu ni ngapi ambazo zimeshatekeleza agizo hilo!! Anyway, nafikiri mtajipanga upya mjenge kagorofa muachane na yale mabanda. Hayana hadhi ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, HQ ya nchi!! Ha ha. Toeni kitu cha nguvu kama ile Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara!!! Bottom line, achani na nyie serikali muonje uzembe ambao wananchi wengie wanaunguliwa nyumba na mali zao kila kukicha, it is you turn now,
 
Back
Top Bottom