Ofisi ya maadili ya viongozi wa umma haina uwezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya maadili ya viongozi wa umma haina uwezo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Jan 4, 2011.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jaji anayeusika na idara hiyo amekiri mbele ya waandishi wa habari leo kuwa ofisi yake haina uwezo wa kumshitaki kiongozi yeyetoe mwenye mali lukuki kwa njiya zisizojulikana.
  SASA huyu jaji anatufahamisha nini wananchi?

  Source: redio uhuru
   
Loading...