Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,498
- 9,279
Ripoti hiyo inasema, Serikali ya Marekani ilivuruga hatua za kukabiliana na janga la COVID-19, na kusababisha maafa makubwa ya kibinadamu. Ukosefu wa utaratibu wa mfumo wa demokrasia ulisababisha vurugu za kisiasa, na kuzidi kufarakanisha jamii ya Wamarekani.
Watu wa makabila madogo wanakabiliwa na ubaguzi wa rangikatika nyanja zote, hivyo kuwa na taabu kubwa. Biashara ya bunduki na matukio ya mashambulizi ya upigaji risasi vimevunja rekodi, na watu wamekufa moyo kuhusu utaratibu wa jamii.
George Floyd mwenye asili ya Afrika kuuawa kinyama na polisi mzungu kulisababisha hasira kubwa katika jamii ya Marekani. Pengo kati ya watu maskini na tajiri lilikuwa limeongezeka, na watu maskini zaidi wanaishi maisha magumu sana.
Ripoti hiyo pia inasema, badala ya kutafakari makosa yake yaliyosababisha majanga hayo ya haki za binadamu, serikali ya Marekani ilizinyoshea vidole nchi nyingine katika mambo ya haki za binadamu, hali ambayo inafichua unafiki wake na kigeugeu chake katika suala la haki za binadamu