OFISI YA DEO(huyo EVODIUS CHIPWELE) NI NANI BAGAMAYO MKUGENZI IFUNGE IDARA YA SEKONDARIHAIFAI.

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Alijitahidi kuwapata walimu wapya aliowapangia sehemu za karibu karibu, operatio ilikuwa ukipata karibu unatoa tunda, evoduius huyo, na wakubwa wanajua wanamuangalia anakula wake zetu. maanina
 
Chuki binafsi, "I judge like this, because the way you have reported it" lakini lisimwelo lipo, labda nami ashanichapia wangu kudadeki zake nafanya upelelezi then namnyopoa kidude chake
 
Hii ndo serikali ya CCM yenye utitiri wa watendaji wabovu.Huyo DEO wa B'moyo anafaa kuwekea tego.Bukoba manispaa nako kuna DEO anayawapendelea walimu wahaya wenzake kwa kuwapa fursa mbalimbali akiwabagua walimu wasio wahaya.
 
Back
Top Bottom