Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,088
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.

Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.

Huu_ni_uhalibifu_uliojitokeza_baada_ya_Ofisi_ya_Chadema_Jimbo_la_Tunduma_kuchomwa_moto_usiku_w...jpg

Usiku_wa_kuamkia_leo%2C_Ofisi_ya_Chadema_Jimbo_la_Tunduma_imevamiwa_na_kuchomwa_moto%2C_na_wat...jpg

Mungu ibariki Chadema
 
Hakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Wakamatwe na nani wakati waliochoma na wakamataji ni ndugu baba mmoja na mama mmoja .Hukumsikia mchungaji was akisema ni matukio ya kawaida hutokea kila cku Kwa hivyo litashughulikiwa kama linavyoshughulikiwa kesi ya lissu.
 
Hakuna kitu kinachouma katika maisha kama kupoteza nyaraka au data classified documents. Yalihusika katika hilo tukio yakamatwe mara moja
Hawawezi kukamatwa na polisi failure, wengi wanatokea uvccm
 
Huyu Mama ni shetani kabisa, haya mambo tulidhani mwendazake ndio alikuwa engineer kumbe ni udhaifu na tamaa ya madaraka. Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom