Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

Jeshi la polisi lingeundwa na watu wenye division one na two lingekuwa zuri Sana. Lkn Kama mlivyomsikia kiongozi wao amesema linaundwa na wenye division ... point 32.
 
Jeshi la polisi lingeundwa na watu wenye division one na two lingekuwa zuri Sana. Lkn Kama mlivyomsikia kiongozi wao amesema linaundwa na wenye division ... point 32.

wenye point 32 nao ni watanzania wanahaki ya kutumikia Taifa lao, wapo wenye 1.7 na wako ofisi nyeti ila hakuna la maana waliofanya zaidi ya kukata viuno tu..

Tatizo lipo pale CCP na mfumo wa ajira wa jeshi lenyewe + muundo pia wa hilo jeshi...
 
Hivi kuna mjinga yoyote wa wewe kumdanganya hapa jf ?
Jibu hayo maswali niliyoyauliza sio kuleta porojo.
Chadema hii iliyosambaratishwa nani anataka kuja kuchoma ofisi zake?
Ili iweje?
Pale kuna siri gani ya kujitajiwa na CCM?
Mmekwisha anza kutapatapa wenyewe ovyo!
 
Ungeendelea kutupa takwimu mbalimbali za vitu anavyoketa Rais.Usisahau idadi ya kondom zitakazogawiwa.

Jitahidi utumia huto tu-akili tuchache ulitobakiwa.
Kile kipindi cha kutengeneza matukio kimepita,CCM wanapambana na 1.3 trilion kujenga nchi na nyinyi mnajichomea ofisi zenu ili kuuhadaa ulimwengu!
Shame on Chagga Development Manifesto.

Chadema
 
Kile kipindi cha kutengeneza matukio kimepita,CCM wanapambana na 1.3 trilion kujenga nchi na nyinyi mnajichomea ofisi zenu ili kuuhadaa ulimwengu!
Shame on Chagga Development Manifesto.

Chadema
Kwani unatafakari mambo kwa kutumia visigino?
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli itawafuna sana.

Na bado makubwa zaidi yanakuja
Yaani msikule mkachome ofisi halafu mseme laana?Laana ni imani za kishirikina,hakuna kitu kama hicho!
 
Labda ni magufuli kawatuma,
Si ndo mlikuwa mnamsingizia wakati mnachoma wenyewe.
Mnajidanganya kuwa mnaififisha chadema kumbe ndio nazidi kuipaisha. Washaurini viongozi wenu waachane kupambana na chama ambacho kila siku mnaimba kuwa kimejifia chenyewe.
 
Back
Top Bottom