Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Tunduma yapigwa kiberiti na watu Wasiojulikana, nyaraka zateketea

hapo utaambiwa upepelezi unaendelea miaka 5, then business as usual. ni kweli kwa sasa uonevu umepita kipimo.
KATIBA MPYA ndio pekee itakayopunguza UHUNI wa CCM na pengine kuwafurusha kabisa nje ya madaraka, uzuri wanalijua hilo ndio sababu ya hizi SARAKASI..
 
Labda ni magufuli kawatuma,
Si ndo mlikuwa mnamsingizia wakati mnachoma wenyewe.
Kwani UMagufuli wa kuifuta CHADEMA umeisha huko CCM..?!
Akili zako hazina akili hata yakujiongeza kidogo, pumbavu..
 
Chadema ni wezi wameshaibiana wanapoteza ushahidi hapo sasa mtu ambaye hahusiki achome ofisi ya nini? Chadema ni genge la wahuni washaibiana huko
Wewe akili zako zinakutosha mwenyewe. Avatar yako na mawazo yako hakuna boss hapo. Maku mkubwa.
 
Chadema ni wezi wameshaibiana wanapoteza ushahidi hapo sasa mtu ambaye hahusiki achome ofisi ya nini? Chadema ni genge la wahuni washaibiana huko
Ukiandika hivi tayari na CHADEMA imefutika Tunduma si ndio ehee..?!
MaCCM akili zenu hazina akili.
 
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.

Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.

Mungu ibariki Chadema
Ni muendelezo wa UMagufuli, tunaifuta CHADEMA Tunduma. CCM wamekwama na mbinu zao za kizamani.
 
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.

Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.

Mungu ibariki Chadema
Bavicha na Sanaa tumewazoeeni. Mnatengeneza matukio kisha mnatafuta huruma. Zama hizo hazipo tena.
 
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.

Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma wamerudikwa rumande kwa zaidi ya mwaka kutokana na visasi vya kisiasa.

Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CHADEMA... Kukichwa kutapambazuka.. Lakini kabla jua kuchomoza kiza huwa kinene
 
snoop.png
 
Back
Top Bottom