mtotomaasai
Member
- Dec 2, 2013
- 27
- 8
Wapitaji wanadai eti malumbano ya wana chadema wenyewe ndo matunda ya ofisi kuchomwa,tena baada ya kuanza kutuhumiana wenyewe ndani ya chama hicho ambacho wengi tunategemea ukombozi au mabadiliko kupitia chama hicho.
Toa maoni yako je unadhani katika hali ya kawaida chadema wanaweza kuchoma ofisi yao.
Toa maoni yako je unadhani katika hali ya kawaida chadema wanaweza kuchoma ofisi yao.