Ofisi ya chadema (chama cha democrasia na maendeleo) arusha yachomwa moto

mtotomaasai

Member
Dec 2, 2013
27
8
Wapitaji wanadai eti malumbano ya wana chadema wenyewe ndo matunda ya ofisi kuchomwa,tena baada ya kuanza kutuhumiana wenyewe ndani ya chama hicho ambacho wengi tunategemea ukombozi au mabadiliko kupitia chama hicho.
Toa maoni yako je unadhani katika hali ya kawaida chadema wanaweza kuchoma ofisi yao.
 
Hii ni dalili ya kushindia viroba badala ya chakula toa ubwabwa wako hapa.
 
Ndo umeamua kupitisha thread yako kupitia MMU ili ieleweke vizuri nini? Mods, msaidieni huyu mgeni!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom