Ofisi ya Bunge: Mpendazoe bado ni mbunge wa Kishapu

namwona.....naona kakonda...mwanzoni alikuwa mnono..!! siasa za zama hizi.watu wanarandaranda kutafuta maslahi...!
 
Huyo nae CCM MASLAHI
hivi kwa MTU mwenye akili timamu hajiulizi CCM IMEBADILIKA KITU GANI km watu kina kinana ndo sekretariet ya chama
Kinana ana USAF gan?? Mpendazoe alikua haelewi anataka nn maishan mwake angeongelea CCK ambako alitangulizwa km chambo kisha kuachwa hewani
 
Back
Top Bottom