Unaongea vitu ambavyo ni rahisi sana mkuu sio kwamba hatuelewi vya katiba zote kama unavyodhani, and you are doing this not b'se hauna uwezo no... only because umefungwa kitambaa na huoni mkurupuko wa Mpendazoe shujaa wako.
Kuna wakati utaona kitambaa kikiondolewa kwa sasa it won't happen. I feel sorry for you...
Wakati ule Mrema akitoka CCM wengi tulijua kwamba alichemka process... kosa sio kutoka... na Mpendazoe hana kosa kutoka... but process ya kutoka... he got it wrong... na history itakuwa hivyo tu mkuu...
Pole sana... I know it hurt you... lakini ukweli ndio hivyo shujaa amechemsha... na angekuwa makini asingefanya hivyo... atachemka tu hata huko mbeleni....
Mimi nawatakia kila la kheri wanaona Mpendazoe alivyofanya ni sahihi, lakini msimamo wangu ni kwamba alikurupuka kama alivyokurupuka Augustion Lyatonga Mrema.
Na historia hiyo haitafutika daima...
Hayuko makini period.
Mimi si mwanasiasa na siamini katika chama chochote. Huyu Mpendazoe ametangaza kuhama chama chake cha CCM na kuhamia chama kisicho na usajili cha CCJ, kama CCJ haina usajili ni sawa na kusema Mpendazoe bado hajahama CCM labda kama amerudisha kadi yake kwa Uongozi wa CCM. Kwa maana nyingine CCM haiwezi kuripoti Bungeni kuwa aliyekuwa mwanachama wake amehamia CCJ kwani CCJ haipo kisheria hivyo hata kwenye ushindani wa kisiasa CCJ bado hakipo kwenye orodha ya vyama vinavyopingana na CCM. Kwa lugha fupi huwezi kukataa urai wakati huo huo bado ukawa na Passport ya hiyo nchi unayoikataa

VA,
Umeiweka vizuri, nadhani wale wapenzi wake wamuulize, kadi ya CCM ameiweka wapi? Si airudishe basi!!! Huyu jamaa anaweza akawa anawachezea wabongo shere.
VA,
Umeiweka vizuri, nadhani wale wapenzi wake wamuulize, kadi ya CCM ameiweka wapi? Si airudishe basi!!! Huyu jamaa anaweza akawa anawachezea wabongo shere.
Hivi wote wanaohama vyama vyao huandika barua kwa katibu mkuu au mwenyekiti na kurudisha kadi? Kaborou, Lamwai, Tambwe Hiza, Njelu Keseka, Wilfred Lwakatare na wengine wote walifanya hivyo? Au utaratibu huu unaoongelea ni kwa wale ambao ni wabunge?
Tukifikiri kiujinga ujinga.. Hivi kungekuwa na uwezekano wa kufanya uchaguzi mdogo kiti cha Kishapu kingekuwa bado hakijatangazwa kwamba kiko wazi? Na je, wote Mpenzoe na CCM wakikaa kimya Bunge litafanyaje?
we have problem in our collective reasoning capacity! we really do...
we have problem in our collective reasoning capacity! we really do...
kimsingi ndugu zetu hawa haamini kuwa Mpendazoe kweli kaondoka CCM; wanamng'ang'ania kama mchezaji ambaye ameshatoka kwenda timu nyingine na kuwapiga bao kawapiga, na jezi kavaa lakini bado mbona hajamwambia mmiliki.. sasa mmiliki haoni!? Kwa vile Bunge halijapata taarifa rasmi nina uhakika wataendelea kumpa posho yake kama kawaida hadi CCM itakapoamua kutoa taarifa rasmi.
I do agree with you!!! especially when a politician decide to spin and we still think it clear concidence, let look at consitutions etc... it is not our responsibility to dig that much. He decided himself to cross over and announced to the public...
Kama umepatizwa na kuwa mkisto au muislamu kwa nini unaendelea kushikilia ndumba zako na vibuyu vyako... si umeokaka, kwa nini usiache vyote.

Kitendo cha CCM kukaa kimya kinamaslahi sana kwenye proganda. Ofisi ya Bunge inasema wao wanajua Mpendazoe bado ni CCM na CCM yenyewe haijamkana wala kuthibitisha kuwa sio mwanachama wao. Mwananchi wetu jimboni kwake wanamuona Mpendazoe ndio wa kulaumiwa na mwenye kuwarubuni. Kaziiii kweli kweli...
Hivi akilipwa mshahara wake bank atauchukua? Hapo atakuwa amejimaliza kisiasa.
Husika na kichwa cha habari, napenda kukutaarifu kuwa Bw. Fredrick Tungu Mpendazoe aliyekuwa mbunge wa Kishapu kwa kupitia chama chetu kufuatia uchaguzi wa 2005 amepoteza uanachama kwa kuvunja Ibara ya 13:1(e) ya Chama chetu. Napenda kukutaarifu rasmi kuwa Bw. Mpendazoe si mwanachama tena wa Chama cha Mapinduzi. Natumaini ofisi yako itachukua hatua zote muhimu kuakisi ukweli huu mpya.
Ni mimi katika taifa
Yusuph Makamba
I really don't blame ofisi ya Bunge kwa sababu wao wanafuata taratibu tu; Jamaa katangaza kujitoa CCM na kasema kajiunga na chama kingine (CCJ) na anakitumikia; Makamba Katibu Mkuu wa CCM alitakiwa the next day aandike barua kutoa taarifa kwa NEC (election) kuwaambia Mpendazoe amepoteza uanachama.. na Tume inatoa taarifa (pamoja na CCM wenyewe) kwa Bunge kwa sababu chama hakiwezi tu kupeleka barua na kusema fulani kaondoka kwa hiyo aondolewe Ubunge bila kuhusisha tume ya uchaguzi.. Kwa hiyo hapa hakuna kazi yoyote. Naona ni hofu ya watu tu kuionyoshea mkono CCM na kuonesha uzembe wake wa kufanya maamuzi hata yaliyo mepesi kama kukaa chini na kuandika barua.
kama Bunge linasema linamtambua kwa sababu CCM haijafanya inachotakiwa kwanini asiuchukue? Mtu akisema ameacha kazi mahali halafu wanaotakiwa kuthibitisha kuwa ameacha kazi hawafanyi hivyo halafu wanatangaza hadharani kuwa bado ni mfanyakazi wao na kumtumia na cheki ya mshahara kwanini asiuchukue wakati legally bado ni mfanyakazi wao hata kama haendi kazini? Hajajimaliza kisiasa atakuwa anathibitisha ni jinsi gani CCM imezidi kuonesha uzembe usio kifani hata katika mambo madogo kama haya. Makamba aandike barua yenye kurasa moja; anaweza kucopy na kupaste hii:
and walaaa!! done!