Ofisi ya Bunge: Habari zilizosambazwa na Madiwani wa Misungwi kuhusu video ya Kitwanga si za kweli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,485
54,856
53831bf0-b2e0-44dd-9a6b-246eb627a312.jpg
 
Wale madiwani wanadai kuna uchakachuaji wa sauti ni kitu ambacho kimepangwa kwa nguvu ya maadui wa kitwanga ambao wamo bungeni na kwingineko hawajakataa hiyo live ya lisaa. Wanalia na ule muda mnaoita dilei ya masafa hapo ndo mafundi wa bunge tv na tbc walipocheza na sauti kwa sababu hakuna daktari aliyethibitisha kuwa mbunge wao alikuwa amelewa. inawezekana ni mshituko wa shutuma ya Lugumi hili ninawaza mimi
 
Jamani tubadilike ule wakati umepita sasa hivi tupo ktk harakati za kutambua nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe ni nyeupe haturudi nyuma n'goo.
 
Kitwanga mwenyewe anasubiri nini Kutueleza yaliyomsibu au waandishi wanafukuzwa kumsogelea.

Hadi kesho naamini, Ulevi hauthibitishwi kwa video clip.
Bali alcohol Tester au Daktari/mtaalam. Hata katika Bibilia Mwanamke anayeitwa Hannah Alipokuwa anasali nabii ELi alidhani KALEWA kwa kuona. Haimaanishi Waziri Hakulewa (waliomtumbua wanajua walithibitisha vipi) lakini kwa kuona tu ile CLIP utadhibitisha kalewa kwa kudhani. Kukiwa na SCIENTIFIC or Proffessional Proof kwa mambo kama haya itakuwa vizuri zaidi.
 
Wale madiwani wanadai kuna uchakachuaji wa sauti ni kitu ambacho kimepangwa kwa nguvu ya maadui wa kitwanga ambao wamo bungeni na kwingineko hawajakataa hiyo live ya lisaa. Wanalia na ule muda mnaoita dilei ya masafa hapo ndo mafundi wa bunge tv na tbc walipocheza na sauti kwa sababu hakuna daktari aliyethibitisha kuwa mbunge wao alikuwa amelewa. inawezekana ni mshituko wa shutuma ya Lugumi hili ninawaza mimi
Huu ndio mgogoro wa kutokuonyesha bunge live. Hao hao ccm hawataki bunge live ili uozo wao usionekane kwa wananchi, hao hao wana ccm wanalalamika kuwa studio ya bunge ndio imemuhujumu kitwanga kwa sauti kubadilishwa. Sasa hawa watu ni kama wamelaaniwa hawajui washike lipi au lipi la kuacha. walifikiri watawahujumu wapinzani kumbe wameanza kujihujumu wenyewe.
 
Wako kwenye payroll ya kitwanga hawana cha kuibuka nacho zaidi ya hicho
 
kazi ipo. madiwani wanatetea mlo wao. ila suala la bunge kutorushwa live litazua mengi sana....
 
Huu ndio mgogoro wa kutokuonyesha bunge live. Hao hao ccm hawataki bunge live ili uozo wao usionekane kwa wananchi, hao hao wana ccm wanalalamika kuwa studio ya bunge ndio imemuhujumu kitwanga kwa sauti kubadilishwa. Sasa hawa watu ni kama wamelaaniwa hawajui washike lipi au lipi la kuacha. walifikiri watawahujumu wapinzani kumbe wameanza kujihujumu wenyewe.
Mungu si mwanadam aiseee
 
Hakika mkuu cdm ni kiboko ya mafisiem. Ukiweka na kivuli cha lowassa jamaa kama wamevurugwa wakati ata pambano bado.

Kordo za lumumba hakukaliki watu wamechanganyikiwa na neno moja tu la lowassa.
Mkuu CCM wanamuona lowasa km mzuka (ghost) fulan hivi, hakyanani huyu Mzee ni kiboko ya CCM
 
Mkuu CCM wanamuona lowasa km mzuka (ghost) fulan hivi, hakyanani huyu Mzee ni kiboko ya CCM
Lizaboni na misukule mingine yameweweseka na kushinda huku jukwaani usiku kucha na mchana kutwa kumchafua lowassa kisa tu kasema nitaanza kuzunguka nchi mzima. Mbona wanateseka na kivuli cha lowasaa.?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom