Ofisi ya Bawacha Shinyanga yatelekezwa

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,394
Baada ya mbunge wa viti maalumu wa zamani kuachwa kwenye uteule ofisi ya bawacha mkoa yakosa usimamizi na kubakia ikiwa imefungwa. Mbunge wa sasa haieleweki kama atachukua jukumu la kuisimamia.

Wakina mama wa shinyanga wameanza kumkumbuka mama Rachel ambaye ni mzaliwa wa shinyanga na alitoa misaada mingi ya kukijenga chama tofauti na mteule wa sasa.
 
peleka familia yako wakaishi hapo maana wewe ni ziro matatizo.


swissme
 
Back
Top Bottom