Ofisi nyingi za CHADEMA zipo hoi kasoro zile za kaskazini: Kwanini!?

chambulilo

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
217
38
August 2013 nilitembelea mkoa ambao makao makuu ya kanda ya ziwa mashariki (kanda ya cdm) sikuamini pale nilipoonyeshwa ofisi ya makao makuu hayo ya kanda kwani haikuwa haifanani na zile za kata zilizopo mikoa ya kaskazini hususani Kilimanjaro!
Mwenyeji wangu alinieleza kuwa hata hiyo ofisi walipewa tu na msamalia mwema kwani zamani viongozi wake walikuwa wanakutana chini ya mti au bar au majumbani kwao.

Nilijuuliza maswali kibao pasipo kupata majibu;

  • Je ruzuku ya chama inafika kaskazini tu kwingine haifiki?
  • Mkoa huu ulimpa BABU SLAA zaidi ya kura laki tisa ( zaidi ya 45% kura alizopata) katika uchaguzi mkuu wa 2010, kwanini aupe kisogo na kukimbilia kaskazini sehemu ambayo aliambulia kura chache ukilinganisha na za mkoa huu?
  • Michango ambayo uwa inakusanywa katika mikutano ya hadhara inakwenda wapi hadi kufikia ofisi kukosa viti na kulazimu viongozi kukaa katika vigogo ofisini hapo?
  • Je Viongozi wa kanda na mkoa huu wanaogopa kuhoji ruzuku ya chama inapoishia wakihofia kunyang'anywa vyeo vyao na kufukuzwa uanachama?
 
Umekosa uongo wa kusema. Huo ukanda unautengeneza wewe wala watanzania hatuujui. Labda tuitazame chama twawala CCM iliyopewa dhamana ya kuiongoza nchi kwa takriban miaka hamsini na kitu sasa.
- je sehemu zote za nchi ziko sawa kimaendeleo?
- je bajeti nyingi inapelekwa masaki, upanga , mbezi na maeneo mengine ya Dar?
- vipi watu wanaoishi mbagala na gongo la mboto hawana haki ya kuishi? Na fidia za mali zao je?
- vipi mtwara na lindi sio wapiga kura wenu?
- vipi watanzania wanaopiga kura hawaruhusiwi kumiliki mali?
-vipi BOT hawaruhusiwi kufanya kazi watu wa familia duni au ni idara ya watoto wa vigogo?
-vipi elimu bora inatolewa kwa matajiri tu?
- kwani shule za kata zinazowapa wapiga kura wengi watoto wenu hawafai kusoma?
-afya je ni ya watu matajiri na matibabu ya nje ya nchi maskini hawapatwi na maradhi ya kutibiwa nje ya nchi?
- vipi huko kijijini kwa bibi hawahitaji maji safi na salama, umeme, barabara na hospitali zenye madawa na wauguzi?
Swali langu kwako ni je ulitaka kuwasilisha MADA gani kuhusu CHADEMA? na je niliyoyataja si zaidi ya ukanda wa kufikirika na kusadikika unaotaka kusema? CCM pisheni kiama kitawakumba.
 
Mkiambiwa mnawaza kwa kutumia makalio mnalia. Haya umeshaingiza siku wahi Lumumba.
 
  • Je Viongozi wa kanda na mkoa huu wanaogopa kuhoji ruzuku ya chama inapoishia wakihofia
  • kunyang'anywa vyeo vyao na kufukuzwa uanachama?
Wewe una mapepo na Li ccm lako.Kwa taarifa yako huko kaskazini watu wana fedha hivyo hawasubiri ruzuku ili wajenge ofisi bali kwao wana utamaduni wa kujitegemea kwa kuchangiana wenyewe kwa wenyewe.Nani alikuambia uzaliwe kwa watu wavivu.Jitahidi kuwaelimisha ndugu zako wajifunze kutoka kilimanjaro mbulula wewe.
 
ukweli unauma,kama makao makuu ni nyumba ya mtu je uswahilini huku
 
August 2013 nilitembelea mkoa ambao makao makuu ya kanda ya ziwa mashariki (kanda ya cdm) sikuamini pale nilipoonyeshwa ofisi ya makao makuu hayo ya kanda kwani haikuwa haifanani na zile za kata zilizopo mikoa ya kaskazini hususani Kilimanjaro!
Mwenyeji wangu alinieleza kuwa hata hiyo ofisi walipewa tu na msamalia mwema kwani zamani viongozi wake walikuwa wanakutana chini ya mti au bar au majumbani kwao.

Nilijuuliza maswali kibao pasipo kupata majibu;

  • Je ruzuku ya chama inafika kaskazini tu kwingine haifiki?
  • Mkoa huu ulimpa BABU SLAA zaidi ya kura laki tisa ( zaidi ya 45% kura alizopata) katika uchaguzi mkuu wa 2010, kwanini aupe kisogo na kukimbilia kaskazini sehemu ambayo aliambulia kura chache ukilinganisha na za mkoa huu?
  • Michango ambayo uwa inakusanywa katika mikutano ya hadhara inakwenda wapi hadi kufikia ofisi kukosa viti na kulazimu viongozi kukaa katika vigogo ofisini hapo?
  • Je Viongozi wa kanda na mkoa huu wanaogopa kuhoji ruzuku ya chama inapoishia wakihofia kunyang'anywa vyeo vyao na kufukuzwa uanachama?
mtu kwao
 
Umekosa uongo wa kusema. Huo ukanda unautengeneza wewe wala watanzania hatuujui. Labda tuitazame chama twawala CCM iliyopewa dhamana ya kuiongoza nchi kwa takriban miaka hamsini na kitu sasa.
- je sehemu zote za nchi ziko sawa kimaendeleo?
- je bajeti nyingi inapelekwa masaki, upanga , mbezi na maeneo mengine ya Dar?
- vipi watu wanaoishi mbagala na gongo la mboto hawana haki ya kuishi? Na fidia za mali zao je?
- vipi mtwara na lindi sio wapiga kura wenu?
- vipi watanzania wanaopiga kura hawaruhusiwi kumiliki mali?
-vipi BOT hawaruhusiwi kufanya kazi watu wa familia duni au ni idara ya watoto wa vigogo?
-vipi elimu bora inatolewa kwa matajiri tu?
- kwani shule za kata zinazowapa wapiga kura wengi watoto wenu hawafai kusoma?
-afya je ni ya watu matajiri na matibabu ya nje ya nchi maskini hawapatwi na maradhi ya kutibiwa nje ya nchi?
- vipi huko kijijini kwa bibi hawahitaji maji safi na salama, umeme, barabara na hospitali zenye madawa na wauguzi?
Swali langu kwako ni je ulitaka kuwasilisha MADA gani kuhusu CHADEMA? na je niliyoyataja si zaidi ya ukanda wa kufikirika na kusadikika unaotaka kusema? CCM pisheni kiama kitawakumba.
Chadema ni chama kilichoanzia kanisani kwakua waislam wamekielewa vyema sasa wanatapatapa, mimi siwasilimishi wakristo nyinyi chagueni chama chenu chadema na sisi tutakichagua chama chetu CUF, tuone nani ataingia magogoni, mpo wachache halafu mnaleta udini sijui mpoje ptuuu!
 
Back
Top Bottom