KIPAUMBELE sir
Member
- Jan 1, 2016
- 80
- 12
Nilitegemea uadilifu Wa serikali ya CCM kuanza Na bomoa bomoa ya Ofisi zake za CCM ambazo nyingi zinejengwa kwenye maeneo ya wazi (Open spaces).
Kitendo cha CCM kuanza kubomoa kitaonyesha dhamira ya kweli kuwa inaunga mkono juhudi za serikali yake ya kupambana Na watu wakiovamia maeneo ya wazi.
Tunawaomba wananchi wrote wanaowatambua wote waliojenga katika maeneo ya wazi ikiwa in pamoja Na chama Dume CCM tuwataje Na sehemu walikovamia kwani nalo in jipu Mh.Lukuvi Anza Na CCM kuvamia maeneo ya wazi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Last edited by a moderator: