Ofisi kuu CCM Mkoa wa Mbeya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,795
215752_217266951621956_6866137_n.jpg

Jengo hili lenye uzuri wa asili, halihitaji mkorogo, Wala hata kuoga, Ni jengo nechuro kabisa linapatikana Soko Matola, Mtaa wa Wageni nyumba namba 2, Opposite na Jengo la UMATI.
 
Mbeya Kuna shida gani? Yaani tangu enzi za Mwalimu Nyerere CCM haiipendi Mbeya, wala yenyewe haipendwi na wana Mbeya
Hizo taarifa umezitoa wapi?
majimbo mengi Mbeya ni CCM kuanzia Kyela, Rungwe yote mashariki na Magharibi, Mbarali, Chunya n.k
Juzi hapa ndio Sugu kachukua kwa Mpesya Mbeya mjini
 
215752_217266951621956_6866137_n.jpg

Jengo hili lenye uzuri wa asili, halihitaji mkorogo, Wala hata kuoga, Ni jengo nechuro kabisa linapatikana Soko Matola, Mtaa wa Wageni nyumba namba 2, Opposite na Jengo la UMATI.
Ila Mbeya pazuri sana,
nimeipenda hiyo hali ya hewa naona pametulia sana hilo jengo lipo sehemu yenye utulivu pembeni inaonekana barabara nzuri iliyojengwa na CCM.
 
Barabara zote za Soko Matola ni lami ya kabla ya uhuru. CCM walichofanya ni kuziba viraka tu.
Kuanzia Mtaa wa Wageni, Tanu, Nonde, Kanisa na Mtaa wa Kiwanja Mpaka na barabara zake zote kuanzia barabara ya Kwanza hadi ya nane kwa Madaraka ni lami ambayo iliwekwa na wakoloni.
Tumeendesha sana maberingi miaka ya mwanzoni mwa 80 kwenye barabara hizo.
USIJARIBU KUENDELEA KUDANGANYA
 
Kwa kweli simkumbuki,
labda unaweza kunipa historia yake nikapata kumbukumbu
Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, 1995 huyu ndiye tulimpa Jimbo la Mbeya Mjini baada ya kuuchoka utawala dhalimu wa CCM.
Mpesya alishinda kwa wizi tu wa kura hakuwa na chochote wala lolote.
 
Barabara zote za Soko Matola ni lami ya kabla ya uhuru. CCM walichofanya ni kuziba viraka tu.
Kuanzia Mtaa wa Wageni, Tanu, Nonde, Kanisa na Mtaa wa Kiwanja Mpaka na barabara zake zote kuanzia barabara ya Kwanza hadi ya nane kwa Madaraka ni lami ambayo iliwekwa na wakoloni.
Tumeendesha sana maberingi miaka ya mwanzoni mwa 80 kwenye barabara hizo.
USIJARIBU KUENDELEA KUDANGANYA
Unaonesha unaijua Mbeya vizuri, ila kuhusu barabara umepotosha sababu hizo barabara zimejengwa na serikali hadi maeneo yote ya Ukumbi wa Mikutano wa Mkapa
 
Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, 1995 huyu ndiye tulimpa Jimbo la Mbeya Mjini baada ya kuuchoka utawala dhalimu wa CCM.
Mpesya alishinda kwa wizi tu wa kura hakuwa na chochote wala lolote.
Inawezekana ikawa ukweli sababu watu wa Mbeya kiasili ni ujasiri, misimamo, hawapendi ubabaishaji na hata elimu wanayo kubwa sana, hivyo walikua sahihi kipindi hicho.
Ila sio kwa upinzani wa sasa uliojaa uhuni tu na ujanja ujanja.
 
Back
Top Bottom