Ofisi/Dalali wanaonunua Laptop/Simu.. Mbovu.

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Habari wana Jf!
Naulizia madalali au ofisi au mahali wanaponunua laptop;simu; n.k vibovu hasa kwa mkoa wa Dar es saalam.
Nina laptop naiuza pia Nina wenzangu ambao wanatafuta sehemu ya kuuza laptop na simu Zao.

Tuwasiliane...!!

ahsante!!
 
Ubovu wake ni beyond repair? Au ni ya matengenezo makubwa? Kama zina tengenezeka tafadhali ni pm.
 
Jaman na mimi ninabberry torch tatizo mkanda nimeshndwa kununua,so nataka kuiuza kwa elfu 50 kama kuna mkuu anahtaji tufanye biashara
 
Back
Top Bottom