Ofisa mifugo wilaya ya Nyamagana, Mwanza ajitia kitanzi ndani ya zizi la ng'ombe

Chief wewe ni msukuma nini?
Hata Mimi nashangaa, jamaa jina la Kihaya lakini anathamini ugali sana!!

Hivi watu wanaojiua awaoni utamu wa Ugali.
Tangu lini Mhaya akapenda ugali? Ila jamaa huyu mjinga sana alikuwa amebakiza miaka miwili na miezi achukue mafao yake sasa ameyaacha! Kwa nafasi yake alikuwa hakosi 200 m! Ujinga ni mzigo!!
 
Hata Mimi nashangaa, jamaa jina la Kihaya lakini anathamini ugali sana!!

Tangu lini Mhaya akapenda ugali? Ila jamaa huyu mjinga sana alikuwa amebakiza miaka miwili na miezi achukue mafao yake sasa ameyaacha! Kwa nafasi yake alikuwa hakosi 200 m! Ujinga ni mzigo!!
 
Dah 57 akifikilia kinua mgongo hapati picha Na ndio anaelekea kustaafu, Nina Jamaa yangu alikuwa afisa mifugo kigoma yuko kibaha anafuga mingulue ya kisasa hana stress kaajili vijana kumi na 15 akiwemo afsa mifugo anae mlipa million mbili kwa mwezi siku akipandisha kwenye fuso kuja kuchinja utasema hawa ningurue au siafu, kuajiliwa sio dili hayo ndio matokeo yake
TRA hawajatumwa kumfuatilia ajieleze amepata wapi mtaji? Na muda wa kuendesha private practice skiwa mtumishi wa umma? Labda kama naye anamuunga mkono jiwe wampotezee tu. Au haulizi maswali ya kuudhi kwa watawala. Siku wakimchomekea mafao ya ustawi wa jamii ya wafanyakazi wake ndio hapo muziki utausikia. Sijasahau mtu alisema weka bendera ya kijani ili biadhara yako ifanikiwe
 
Alipiga chini Hiyo kaz akaamua kujiajiri sawa yapata miaka saba
 
Dah 57 akifikilia kinua mgongo hapati picha Na ndio anaelekea kustaafu, Nina Jamaa yangu alikuwa afisa mifugo kigoma yuko kibaha anafuga mingulue ya kisasa hana stress kaajili vijana kumi na 15 akiwemo afsa mifugo anae mlipa million mbili kwa mwezi siku akipandisha kwenye fuso kuja kuchinja utasema hawa ningurue au siafu, kuajiliwa sio dili hayo ndio matokeo yake
Tatizo lililopelekea kujiua halikutajwa kuwa ni ajira au kukosa pesa.
 
Kajiua kikatili sana.
Ni kweli its injustice and against human right.

Unaona ulaya wanajiua kwa starehe kama hivi.
IMG-20180425-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom