Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 823
Diamond kasupport kwa tekno na tekno naye bila hiyana kashukuru kwa brother wake.
Big up tekno.
Welcome tekno to Tanzania.
Baada ya kuimba na R Kelly nini kiliendelea!??Ali Kiba ashaimba na R Kelly sasa utamfananisha na Tekno?
haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simbaBaada ya kuimba na R Kelly nini kiliendelea!??
Amekuta kina vumbi la chuma la kilograms 100 kukifuta anashindwa kimebaki na vumbi za figisufigusu tu ndo anachoelewa yeye.haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
Mnafurahishaga na huyo R. Kelly, ile project mnaiota kila siku maana ndo sehemu ya kujitetea.Ali Kiba ashaimba na R Kelly sasa utamfananisha na Tekno?
Project yenyewe ilikuwa "kwa hisani ya watu wa Marekani"Mnafurahishaga na huyo R. Kelly, ile project mnaiota kila siku maana ndo sehemu ya kujitetea.
Umeona eeeh! Hafu Leo anatumia nguvu nyingi zaidi....wakati alitakiwa akaze toka kipindi hiyo na Leo Diamond angekua anamfata na kumwambia "Broo nafanyaje niweze kupenya soko la International?"haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
mi mwenyewe nashangaambona hata mimi wananishukuru ila sipendi kujionyesha!!Ali Kiba ashaimba na R Kelly sasa utamfananisha na Tekno?
mziki wa nigeria n kawaida wasanii kutoa nyimbo kila mwezi hata wiki wanaachia tu madudetecno nae nyimbo kila jumapili
Alijiona kishafikahaaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
Sema huo wimbo mzurmziki wa nigeria n kawaida wasanii kutoa nyimbo kila mwezi hata wiki wanaachia tu madude
ni wakati wake!!tecno nae nyimbo kila jumapili
kwangu msanii bora Naija ni wizkid kwa huu mwakani wakati wake!!
Acha atikise naija mpaka wapopo waombe pooo!!!
akipata MTVmama artist of the year au best male atatulia
mwakani anaweza kupata BET
haaaaa alipumzika kuja kushtuka kiti kimeshachukuliwa na simba
Ali Kiba ashaimba na R Kelly sasa utamfananisha na Tekno?