Officials find 2,000 fetuses at Bangkok temple!

Whoever is responsible for this thing, is one sick individual. Inatisha aisee!
 
Wana ajenda ya siri! ingekuwa abortion ekee si wangesha dispose! mweh
 
Sick Sick Sick!
Haya ndio matokeo ya unafiki (hypocrisy) wa kisheria. Kwa mfano Sheria inawakataza watu wasifanye abortion wakati pre-marital ngono inaruhusiwa. What should we expect? In Thailand Abortion is illegal except in very special cases, yet it is a country known for sex tourism. Majirani zao wa Kichina, wao abortion is legal na mambo yanafanyika sehemu zinazokubalika-hospitali. Hapa kwetu TZ sijui itakuwaje tukianza kutembelea vihospitali uchwara pamoja na ma-dusbin kwenye mabweni ya wanafunzi vyuoni. Unaweza kukuta we can gather lots of fetuses. Msomaji umeshiriki kwa kiwango gani kutoa mimba! Jamani tuache ngono japo ni tamu!! Tufanye tu tukiwa na uhakika wa kutotenda dhambi hii ya kuua vichanga tumboni.
 
Back
Top Bottom