Official: Utumaji wa Radio Signals kwenda sayari ya Vesta

Nimefurahishwa sana! Hongera kiongozi. Nitakufuatilia inshaallah ili nijue hatua unazozielekea kwenye utafiti unaoufanya. Lakini hili litakuwa sambamba kama ukitutumia taarifa kuhusu tafiti unayoendelea nayo.
Shukrani na Hakika! Mambo yalikwenda sawia kama yalivyopangwa.

Kikubwa naanza harakati mpya sasa.
 
Maendeleo Hayana Chama Fanya Kazi
Naamini Siku Za Mbele Utakuja Kutuhamisha Wote Hapa Tanzania Tukale Raha Huko. Western Lake Tanganyika
Kigoma Huko Bila Shaka
 
Uwezo wako wa kuwasilisha mada ni sifuri...

Jitahidi katika ili eneo ni muhimu sana kukusaidia katika kupata attention ya watu na pia kuweza kupata connection zaidi kukisaidia katika kazi zako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani na Hakika! Mambo yalikwenda sawia kama yalivyopangwa.

Kikubwa naanza harakati mpya sasa.
Mkuu kuna baadhi ya mambo ulituhaidi utayafafanua vizuri baada ya hili tukio. Moja wapo ni kuhusu maendeleo ya Asia na South America na tiba mbalimbali.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Nipo Western Lake, Tanzania. Vifaa ni vile vya amateur astronomers, calibrators na digital artist y scientists.

Kuhusu picha ya planet Vesta nitatumia reference kueleza. Did you know the Earth and Universe you know is CGI? 😮

- Sérgi
hujaeleza umepataje picha zako unatueleza AERIAL VIEW tunazoona ni CGI!.. Jibu swali umewezaje kupata GROUND PHOTOS za huko unapotuma mawimbi!..
 
Hakuna sayar inayoitwa vesta...Vesta siyo sayar... Bali ni astroid.........
.....na umewezaje kupata picha za chini???.. za hiyo Vesta................
.......................................
alafu nyie maGT wa humu mnashindwa hata kutumia Google mnajua kuamini tu........
 
Safi ndugu maswali yako akijibu hata mimi angalau nitashawishika kuamini au kuelewa anachofanya na aliposema CGI ndio kanichanganya kabisa ina maana katengeneza picha!, ngoja ajibu haya kwanza maana kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya hili.
 
Tumpe muda lakini naona hatatoa jibu.
 
Hakuna sayar inayoitwa vesta...Vesta siyo sayar... Bali ni astroid.........
.....na umewezaje kupata picha za chini???.. za hiyo Vesta................
.......................................
alafu nyie maGT wa humu mnashindwa hata kutumia Google mnajua kuamini tu........
Hichi anachofanya ni marudio.Yalishafanywa zaman....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi ndugu maswali yako akijibu hata mimi angalau nitashawishika kuamini au kuelewa anachofanya na aliposema CGI ndio kanichanganya kabisa ina maana katengeneza picha!, ngoja ajibu haya kwanza maana kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya hili.
Picha alizoleta hazina tofauti na picha kwenye hii account

Jamaa flani anaitwa RUSS D kwenye Flickr Russ D
 
Duh watu mnajua kuvunja moyo kweli... Hebu leave the guy alone....When the task is complete he'll just give us the feedback.
 
Nipo Western Lake, Tanzania. Vifaa ni vile vya amateur astronomers, calibrators na digital artist y scientists.

Kuhusu picha ya planet Vesta nitatumia reference kueleza. Did you know the Earth and Universe you know is CGI?

- Sérgi
Wow! Now ain't that a bitch?
 
Mkuu kuna baadhi ya mambo ulituhaidi utayafafanua vizuri baada ya hili tukio. Moja wapo ni kuhusu maendeleo ya Asia na South America na tiba mbalimbali.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Soon nitawajuza mengi sana.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom