OFFICIAL RESULTS UDIWANI BUKOBA MJINI: CHADEMA KATA 2, CUF KATA 2 na CCM WABEBA 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OFFICIAL RESULTS UDIWANI BUKOBA MJINI: CHADEMA KATA 2, CUF KATA 2 na CCM WABEBA 10

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by wihanzi, Nov 1, 2010.

 1. w

  wihanzi Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Matoke rasmi ni kwamba CCM wameshinda madiwani wengi bukoba mjini (KATA 10) na hivyo kuunda baraza la kata wakati CUF na CHADEMA wamepata kata 2 kila mmoja.

  Matokeo ya ubunge mpaka saa nane jioni

  Matokeo ya udiwani yamethibitishwa na msimamizi wa uchaguzi

  source: ITV
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  congratulations to all the winners, and the losers should remember it is not the end of the road yet.................voters' voice ought to be respected.........
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kule Kagera wanatuangusha kweli!
   
Loading...