official calls ndani ya dala dala inayolazimu english itumike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

official calls ndani ya dala dala inayolazimu english itumike

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MKATA KIU, May 24, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wana chit chat,

  nimekumbuka tukio hili nikaona nishirikiane na wenzangu huwa mana solve vipi, unakuta upo zako ndani ya dala dala unaelekea zako uswahilin kwako unapoish, halafu ghafla seniors wanaanza kukutafuta ambao wanalazimu uongee kiingereza huku umati unakusikiliza ukipiga longo longo kwa kimombo, dah to be honest najishtukia sana hadi nimeamua kutopokea simu kwenye mazingira hayo especially za wadau wasiojua kiswahili, maana unaweza ukaonekana unaleta story za isidingo kwenye mdundiko
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwani wee ni bishoo bai profesheno?

  Sioni vinaingilianaje kutimiza majukumu yako na uswahilini.
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Anadhani wote wanaopanda daladala sio waelewa hadi waone analeta story za isidingo.
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hyo tisa, kumi uwe umepigiwa cm na mtu toka nje ya nchi au hta km ni ndan ya nchi na hajui kiswahil. ni mtu wa muhimu let say boss wako utafanyaje mtoa mada. ukiacha kupokea inaweza kuwa soo!
   
 5. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mie nakichalaza kiingeleza ndani ya daladala vizuri, simuogopi mtu wala nini.................Kwani walikatazwa kusoma inglish kozi..............!
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hahaa zinduna kuna wale wenzangu na mie wataanza kusema ohh anajidai anajua kiingereza kumbe alokupigia ndo hajui kiswahili so unalazimika kutumia kiingilishi. lol...
   
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  we ka mm tu ala hata siogopi kitu
  na hata sioni ajabu kuongea
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Inategemea daladala la wapi mkwe, chezea Mbagala-Kivukoni wewe, tena alfajiri watu wanawahi kuchukua samaki.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  sioni tatizo mradi usitegue ulimi tu.......
   
 10. t

  tete Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hiyo kwel noma coz raia lazima wakudis
   
 11. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  mtoa uzi,Je bibiako wa kijijini asiyejua kiswahili kakupigia simu upo nani ya daladala hautongea kikwenu?
   
 12. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kilugha mzuka, watu hawatatoa macho sana kama kimombo, si unajua yes yes no zinaonekana za kisharobaro mjini, sasa watu wametulia wanaanza kuona mdau unalonga kizungu lazima wakuone unazingua kaka, but kilugha mbona sana tu
   
 13. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  Life is too short to live the way others expect you to. Live as you see and deem fit. Freewill.
   
 14. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani shida ya mshikaji siyo kingereza bali ni brokeni english ambayo akiitema ndani ya daladala inaweza kumshushia hadhi hasa kama safari hujafika na usafiri wenyewe ndiyo umepata kwa shida tena kwa kupitia dirishani!!!
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Bado kidogo 2015 unaweza kuwa sahihi!
   
 16. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapo chachaaa na sie waswahil tulivyo
   
Loading...