ndugu zangu nimemaliza chuo 2013 bsc in computer ila bado na mbwela kitaa muda umepita kidogo nilifanya application kwa vyeti vya a level na o level nimefanikiwa kuitwa interview ya office attendant serikalini.vipi ndugu zangu je hii inaweza kuwa njia sahii kutokea?naombeni mawazo yenu na mungu awabariki