Office Assistant/Messenger Needed

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Update: We have already hired. This job post is closed

We need someone to help with delivering correspondence to our clients. These are printed documents that need to be delivered physically, such as proposals, reports etc. On average, per day we deliver five of such correspondences here in dar.

Expenses such as transport are covered. We expect to pay roughly 150,000 - 180,000 TZS per month.

For those interested, please send me a PM

Application deadline is 21st June, 2013.

Only one person is required.

Thank you.
 
duh mshahara huo utasomesha vipi watoto utalipa vipi kodi ya nyumba utakula nini?? acheni kuwazulumu watu.Hizi kazi mbona hivi kuweni na huruma.
 
Watu wana mshahara huo na wanatunza familia, mkwe na mashemeji, wazazi wake na wadogo zake. Na still anakuwa na nyumba ndogo 2. Unadhani kwa nini waswahili wezi mno? Piga bao kila kitu.
duh mshahara huo utasomesha vipi watoto utalipa vipi kodi ya nyumba utakula nini?? acheni kuwazulumu watu.Hizi kazi mbona hivi kuweni na huruma.
 
Nimeamini una akili ya kuzaliwa, hii sio ya kufundishwa
Niliwahi fanya kazi kwa mshahara wa elfu sitini, why? 1 inashinda 0
Na kazi kama hizi zinafaa teens, wanaosubiri kwenda vyuoni and the like

Watu wana mshahara huo na wanatunza familia, mkwe na mashemeji, wazazi wake na wadogo zake. Na still anakuwa na nyumba ndogo 2. Unadhani kwa nini waswahili wezi mno? Piga bao kila kitu.
 
duh mshahara huo utasomesha vipi watoto utalipa vipi kodi ya nyumba utakula nini?? acheni kuwazulumu watu.Hizi kazi mbona hivi kuweni na huruma.

Hizi ni kazi za party time za form four, form six leavers. Sio za watu wenye familia
 
Hongera, walau unaongeza ajira kwa wasio nazo. Na wengine wenye vyanzo vya ajira wajitokeze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom