offer offer ya madirisha na milango ya aluminium kwa wanaojenga

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,915
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
 
Mkuu wewe unanifaa sana. Niko mivumoni ntakutafuta tufanye biashara muda si mrefu mambo yakikaa vuzuri. Vipi aluminum ya mlango wa 80cm kwa 250cm bei zikoje?
 
Hii inaitwa kufukua makaburi...huenda hata mleta thread alishabadili biashara...toka mwaka 2016
 
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
Nina laki 5 nahitaji madirisha 3 ya futi 5*5 January hii tusaidiane Kama inawezekana nikupe no yangu
 
Kama hujapata fundi nikupe namba ya fundi aluminium bei zako ziko vizuri sana (nafuu)

Weka hiyo namba hapa watu tumtafute na ukiweza kueleza bei zake hapa naamini atapata soko jf hua haimtupi mtu lazima afanye biashara
 
Weka hiyo namba hapa watu tumtafute na ukiweza kueleza bei zake hapa naamini atapata soko jf hua haimtupi mtu lazima afanye biashara

0717 005 393 fundi aluminium

Sisi alitutengenezea madirisha 6 (7x6) kwa 270k@
 
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
Kwa vipimo katika picha hiii, ukiondoa hiyo milango mitatu, utanifanyia kiasi gani
 
Attachments

  • Screenshot_20210226-233239_Gallery.jpg
    Screenshot_20210226-233239_Gallery.jpg
    111.1 KB · Views: 3
0717 005 393 fundi aluminium

Sisi alitutengenezea madirisha 6 (7x6) kwa 270k@
Mi nadhan kwa wanaojitaji haya madirisha waanze ku deal na huyu, sio mleta mada maaana huu uzi wa zamani pengine hata anapiga mishe zingine.
 
Back
Top Bottom