Offer kwa wazazi wa mikoani wenye watoto wanaokuja kusoma Dar chuo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,470
45,607
Nimeona hali ya elimu ya chuo ilivokuwa ngumu kwa wadogo zetu kimkopo kidogo sijui watasomaje.

Pamoja na umaskini wangu nimeamua kujitolea hili... kwa mwanafunzi wa kike wa nje ya Dar aliechaguliwa chuo cha DSM au ustawi wa jamii
aje kuishi kwangu. Atakula bure,atalala bure,awe mzuri na msafi na tabia njema, asiwe mlaji sana.

Kwenda chuo atapanda bus moja tu nauli kwa siku elfu moja nitampa kazi kwa ajili ya kupata nauli pia.

Mwisho wa maombi tar 22/10/2016, nitafanya maamuzi mengine.

Mimi ni mwanamke naishi peke yangu. Sina mume wala mpenzi kwa hiyo hatapata usumbufu wowote.

Sihitaji kashfa.

Hii offer ni kwa vyuo vya serikali tu kina zoom siitaji.
 
nimeona hali ya elimu ya chuo ilivokuwa ngumu kwa wadogo zetu kimkopo kidogo sijui watasomaje
pamoja na umaskini wangu nimeamua kujitolea hili
kwa mwanafunzi wa kike wa nje ya dar aliechaguliwa chuo cha dsm au ustawi wa jamii
aje kuishi kwangu
atakula bure
atalala bure
awe mzuri na msafi na tabia njema. asiwe mlaji sana.
kwenda chuo atapanda bus moja tu nauli kwa siku elfu moja nitampa kazi kwa ajili ya kupata nauli pia.
mwisho wa maombi tar 22/10/2016 nitafanya maamuzi mengine
mimi ni mwanamke naishi peke yangu.sina mume wala mpenzi kwahyo hatapata usumbufu wowote
siitaji kashfa
hii offer ni kwa vyuo vya serikali tu kina zoom siitaji
Unavituko We We kwani ulivyotuambia unatafuta mume hukumpata?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom