Offcially tunailipa dowans 185B

Madcheda

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
422
69
Nimeangalia kwenye habari ya itv usiku huu,waziri ngeleja amesema selikali itawalipa dowans hela wanayotudai. Na pia kataja wanashare wa dowans tz ltd na pia majina ya wakurugenzi wa dowans ambao wote ni raia wa nje ya tanzania.
Tujifunge mkanda kukamuliwa ili mafisadi wachukue hela zao
 
Back
Top Bottom