Offa! Jipatie website kwa ajili ya biashara/ taasisi/ n.K kuanzia Tzs 190,000/= na huduma nyinginezo

Kwa wale wanaohitaji kumiliki website & Blog hatujawaacha nyuma wasiliana nasi kwa gharama nafuu sana. Tunatengeneza nakudesigne website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Like: WordPress, Joomla, Forums like Jamii Forums, Online Marketing & Store like kupana and Jumia, Online video streaming like YouTube. Pia na Web hosting Store.
 
Tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni
 
Kwa wafanyabiashara na makampuni madogo na ya kati wasiliana nasi leo, tukutengenezee website kwa gharama ya TZS 200,000/=
 
Unamiliki Kampuni/ Taasisi au Biashara yeyote Jipatie email kwa ajiri ya kampuni au Biashara yako ikiwa na Jina la kampuni au Biashara yako kwa Gharama ya Tsh 75,000/=
 
Saturday OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Pia tuna tunatoa huduma ya web hosting package kuanzia Tsh 3000/ month up tu Tsh 32,000/ year.
 
Tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni
 
Pia kwa wale wanaohitaji kumiliki website & Blog hatujawaacha nyuma wasiliana nasi kwa gharama nafuu sana. Tunatengeneza nakudesigne website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Like: WordPress, Joomla, Forums like Jamii Forums, Online Marketing & Store like kupana and Jumia, Online video streaming like YouTube. Pia na Web hosting Store.
 
Pia tunatengeneza Android Apps na kuipublish kweny play store kwa bei poa. Kwa ushauri kuhusiana na huduma hizo tutakusaidia.. Bure kabisa. Asanteni
 
Huduma nyingine ni Bulk SMS Service, Facebook Campains/ Ads, Social Media Management, Digital Advertisements, Logo + Branding + Print Design, Technical Support, Email + SMS Marketing, Online TV + Radio installation and broadcasting, 2D & 3D animation banners.
 
Tengeneza Email ya Biashara/ Kampuni kwa Gharama ya TZS 75,000/=. Wasiliana nasi sasa
 
Tunatengeneza nakudesigne website za aina tofauti ikiwemo. Dynamic & Statistic Websites. Wasiliana nasi sasa.
 
Huduma ya BulkSms inapatikana kwa Gharama ya Tsh 29/ per sms with free your own sender ID (Sender Name).
 
Nafikiri hapa sio uduma, hapa ni kitu unacho promote ni tofauti na kile unachokwenda kumkabidhi mteja quality ya service and trust natoa mfano halisia wangu,

Tulikubaliana malipo ya web design kwa Tsh250,000/= kisha nikatoa advance ukasajili web yangu kwa Tsh90,000/= unlimited na sharti ni kua baada ya kazi rights zote utanikabidhi.

Bahati mbaya kila ulipokuwa unafika nusu hata ujamaliza ulikua unaomba cash na nakutumia, kilichofuata makubaliano ya web niliyokua naitaji hayakua kama nilivyotarajia (ovyo) kisha nikaomba rights zangu ili niende kwa wazoefu zaidi na nikakulipa kilichokua chako.

Bahati mbaya web niliyokua nimekusudia ambayo ni unlimited na baada ya kuachana na wewe kweli baadhi ya rights ulinipa lakini nilipokwenda kwingine na baada ya kudesign upya na walipotaka ku upload web wakakuta space ni ndogo na aikusajiliwa kama makubaliano yetu (sio unlimited only 500MB tuu). Sikujali nikakwambia unipe psw ili niweze kusonga mbele nisajili kua unlimited wala sikuitaji kukudai or kunisaidia only psw.

Bahati mbaya tena kuanzia hapo kila napompigia simu apokei or nitakupigia ivi na vile pasipo matumaini mpaka leo na hata nilijaribu kuwapa wataalam wangu wakucheki ili uwape support ya kurelease domain ya .com niliyosajili pasipo mafanikio+maudhi yakutosha.

Mbaya zaidi hiyo web imefungwa baada ya Mimi kutaka kuamisha domain yangu ili niwe na access nayo (na hii tulikubaliana tokea mwanzo kabla atujaingia kwenye makubaliano) ilinilazimika kuanza kutumia .co.tz wakati hii nilikua siitaji kwa matumizi yangu ila imenibidi nifungue upya na kutumia .co.tz bila kupenda.

Na kwenye kipengele cha invoice zenu kuna ichi kipengele
1. Website and Domain 75,000/= (nililipa 90,000/=)
2. Year, Cloud Storage 250,000/= Year, Website Updating and Maintenance (sasa hapa Update/Maintenance mna toa nini kama web mmeifunga na nililipa vyote?)


Sasa sijui hao wateja wanaofurahi hiyo uduma yenu ni wapi.
Asante kwa kunifumbua macho mkuu..nilitaka niweke order pia ila kwa maelezo yako haya ngoja niwe mpole tu
 
Back
Top Bottom