Off line radio

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuu naombeni msaada wa kupata radio ambazo ni offline zisizo na kutumia bandoo
Kwenye smartphone zetu hizi.

Kwamba Niki install basi napata radio moja kwamoja anitumie hata kwenye telegram yangu. Msaada plizz
 
Simu yako aina gani?
 
Back
Top Bottom