ofa ya xmass songs kwa wenye WhatsAp

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,143
15,130
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
 
Mkuu nimeku PM ntumie aisee ... Nianze kutafuta Mood za chrissmass!
 
Teh ha kwi kwi

Watu wanatumia fursa vizuri sana maana
ukishapata namba nyingi unazipekua vema
halafu unajilipa taratibu.
 
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi

Watu mna style nyingi za kuwinda.. dah..!
 
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi

Yani huna mpaka udownload?!!
 
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi

Thanks Mkuu nimepata.... afu nimesave namba yako 'xmass songs Provider' hahahaha! Shukrani Mkuu...
 
Back
Top Bottom