maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,142
- 15,130
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi