ofa ya xmass songs kwa wenye WhatsAp

Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,330
Likes
5,083
Points
280
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,330 5,083 280
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
 
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,546
Likes
64
Points
145
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,546 64 145
Huna lolote upo mawindoni tu. Hata siye tunaweza kuzidownload babu we
 
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
1,144
Likes
20
Points
135
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
1,144 20 135
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
Mkuu nimeku PM ntumie aisee ... Nianze kutafuta Mood za chrissmass!
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
351
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 351 180
Mi natumia simu siwezi ku'like
Nikituma pm peke yake ntasaidika?
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,074
Likes
14,000
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,074 14,000 280
Ziweke hapa jukwaani wadau tuzi-down load....Kwani lazima tukupe namba zetu..
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,665
Likes
2,739
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,665 2,739 280
Hahaha hii programu ya bingwa bingwa eyateli sidhani kama inakuhusu.

Nakupm namba yangu ya simu mkuu unitumie kwenye whatsup.
Mi natumia simu siwezi ku'like
Nikituma pm peke yake ntasaidika?
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,860
Likes
5,907
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,860 5,907 280
Teh ha kwi kwi

Watu wanatumia fursa vizuri sana maana
ukishapata namba nyingi unazipekua vema
halafu unajilipa taratibu.
 
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,546
Likes
64
Points
145
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,546 64 145
Peleka ushamba wako huko....Niwinde nini? Umeambiwa utaulizwa jinsia? Get outa here...
We ndio mshamba unatafuta likes kwanguvu
Wakuja tena uliyekuja na mbio za mwenge
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,504
Likes
224
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,504 224 160
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
Watu mna style nyingi za kuwinda.. dah..!
 
F

Fred Ma

Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
35
Likes
0
Points
0
F

Fred Ma

Member
Joined Sep 13, 2011
35 0 0
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
Yani huna mpaka udownload?!!
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,880
Likes
32,623
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,880 32,623 280
Hawekwi sawa mtu hapa
Ngoja nitafute bando nizitundike nyimbo mwenyewe
Ukitumika namba ile picha yako watu wanaikabaang bafuni hata kabla hawajaanza mishe mishe .
Watu wana njaa ni balas
 
nanjilinji

nanjilinji

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
1,154
Likes
19
Points
135
nanjilinji

nanjilinji

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2013
1,154 19 135
Hawekwi sawa mtu hapa
Ngoja nitafute bando nizitundike nyimbo mwenyewe
Bado nakusubiri ili tuzifaidi maana kumtumia mtu namba ya simu wakati hatutakiwi kuwa visible ni janja ya nyani katika kuwi---naomba nisimalizie
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
14,860
Likes
5,907
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
14,860 5,907 280
Hawekwi sawa mtu hapa
Ngoja nitafute bando nizitundike nyimbo mwenyewe

Mkuu ukiziweka nyimbo hapa utakuwa
umemaliza kila kitu na mleta mada
mission yake impossible yaani teh kwi !
 
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
1,144
Likes
20
Points
135
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
1,144 20 135
Haya haya xmass season ndo hiyo imefika,sasa mimi natoa ofa ya nyimbo za xmass kwa wanaJf wanaozitaka maana mimi nazidownload za kutosha. Kwa yeyote anayezitaka sharti ni kwamba una'like' huu uzi then unani-PM namba yako.. Sawa? Usipolike sikutumii ng'o...Twende kazi
Thanks Mkuu nimepata.... afu nimesave namba yako 'xmass songs Provider' hahahaha! Shukrani Mkuu...
 
Forum statistics

Threads 1,249,648
Members 480,983
Posts 29,706,193