Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Utapata wateja ngoja awamu inayofuata wapate fedha za uhamisho
Sawa mkuu
Asante mkuu.nimemueleza zaidi hatua iyo ilitumia kureplace yard!!!kwa maana iliaminika kuwa hatua moja ya mtu mzima ni sawa na yard 1 ambayo ni karibu na futi 3 kama sijakosea

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 5 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/>
efbb49dfb8e088205235d8edce738688.jpg
2d9f943bf99fb0af84e583583986686d.jpg
<br />
6360a5e05051ff05fa39f47107feb0f8.jpg
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 4 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/>
efbb49dfb8e088205235d8edce738688.jpg
2d9f943bf99fb0af84e583583986686d.jpg
<br />
6360a5e05051ff05fa39f47107feb0f8.jpg
 
Back
Top Bottom