• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ofa ya viwanja dodoma mjini kwa mara ya mwisho

steven13

steven13

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Messages
308
Points
250
steven13

steven13

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2014
308 250
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 5 tu!!Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida kama 1.1km,makazi ya watu yako karibu sana na watu wanajenga nyumba za kisasa.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts Tel:0767833496/Email;stevenmasaka@gmail.com/>
<br />
 

Forum statistics

Threads 1,404,589
Members 531,670
Posts 34,458,316
Top