Ofa ya Ramadhani: Lipia Domain & Host tukupe Website BUREE!!!


Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
147
Points
225
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined Nov 23, 2017
147 225
Habari! wana JF
Kama ilivyokuwa ada yetu ya miezi ya awali ya kutoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) Buree!, tumerejea tena kwa mwezi huu wa Ramadhani pamoja na siku za idi inshaallah. Ofa inajumuisha Website zote, iwe ni ya Taasisi, Shule au Biashara na si website za habari na e-commerce.

Jinsi ya kuipata:
Utaratibu wetu ni ule ule, mteja anatakiwa alipie domain na hosting kwetu yenye thamani ya Tsh 100,000/= mwaka wa kwanza (1) na Tsh 75,000/= kuanzia mwaka wa pili.

Ofa inajumuisha:
Limited Web page (s) - About us, Services, blog/news, Faqs, Contacts
C-panel for Hosting
CMS packages
SEO

Muda wa kutengeneza: Tunaitengeneza website ndani ya siku 3 inshaallah
NB: Website ndani ya masaa 24 inakuwa online, tunaitengeneza mteja akiishuhudia mwenyewe

Mashart:
1.Ofa haitajumuisha blog, website za habari na website zenye huduma maalum
2.Ofa haitajumuisha website za e-commerce

Who are we?
We are microsafi.com a digital agency focused on creating custom websites, mobile apps, & digital marketing to grow brands online. We help companies around the world increase their online presence and ROI through design, development and online marketing

Wasiliana nasi: 0712 450 136
Whats app: 0788 450 136
Barua pepe: info@microsafi.com
Address: Dar es salaam
Ramadhani Mubaraka!
 
Mwabhleja

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Messages
1,106
Points
2,000
Age
31
Mwabhleja

Mwabhleja

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2016
1,106 2,000
Sasa E-commerce na Press ndo site za msingi kabisa sasa kwanini zisipewe kipaumbele?
 
D

DAD'S SON

Senior Member
Joined
Nov 18, 2015
Messages
148
Points
250
D

DAD'S SON

Senior Member
Joined Nov 18, 2015
148 250
Mkuu umesema ni bure sasa mbona naona kuna cost hapo 100k cjaelewa hii bure imekaaje??
 
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
147
Points
225
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined Nov 23, 2017
147 225
Mkuu umesema ni bure sasa mbona naona kuna cost hapo 100k cjaelewa hii bure imekaaje??
Hapo kuna makundi mawili ya huduma kuna huduma ya domain na host ambayo ndio inalipiwa 100,000/= kisha pili kuna huduma ya website ambayo ni bure kwa kawaida tunafanya kwa 250,000/= na kuendelea kulingana na aina ya web
 
D

DAD'S SON

Senior Member
Joined
Nov 18, 2015
Messages
148
Points
250
D

DAD'S SON

Senior Member
Joined Nov 18, 2015
148 250
Shukrani mkuu
Hapo kuna makundi mawili ya huduma kuna huduma ya domain na host ambayo ndio inalipiwa 100,000/= kisha pili kuna huduma ya website ambayo ni bure kwa kawaida tunafanya kwa 250,000/= na kuendelea kulingana na aina ya web
 
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
147
Points
225
Digitalx

Digitalx

Senior Member
Joined Nov 23, 2017
147 225
Huduma inaendelea! kipindi cha mfungo wa Ramadhani
 
M

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2016
Messages
361
Points
500
M

Msela Baharia

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2016
361 500
nitakutafuta ndugu nataka kuhost website yangu
 

Forum statistics

Threads 1,295,910
Members 498,475
Posts 31,227,777
Top