Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

steven13

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
319
162
Hii bahati sio ya kuiacha. Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu, nina eneo lina ekari nne(4), nauza kwa eka! Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!

Eneo lipo maeneo karibu na machinjioni (Nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua Dodoma vizuri watakuwa wamenielewa. Kwa wasioijua, eneo lipo Dodoma Mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre. Ni eneo zuri sana, liko mkabala na barabara ya kuelekea Singida. Unaweza ni PM, na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts;

Tel: 0767833496
Email: stevenmasaka@gmail.com

efbb49dfb8e088205235d8edce738688.jpg
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo ya mbuyuni(nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts
Tel:0767833496
Email;stevenmasaka@gmail.com
Limepimwa? Lina hati?
 
Limepimwa? Lina hati?
Mkuu eneo hili nilirithi baada ya babu yetu kutugawia maeneo,januari mwaka huu.na sijakuwa dodoma muda mrefu,japo nilianza mchakato wa kufuatilia kupimwa na kupata hati!kwa sasa halina hati wala kupimwa.naweza sema naliuza kienyeji by now,ila kwa atayehitaji tunaweza kukubaliana hizo taratibu zote.deal negotiatable!!!being honest is nice
 
Aisee ww ni noma! . Japo una shida lkn, umepata wapi wazo la kuuza ardhi uliyorithi, tena babu yako alikugawia January mwaka huu? Babu angekuwa na akili kama za wajukuu leo ungekuta ana hata pa kuegesha hata ubavu?
Akijua umeuza cjui atakuonaje.
 
Sasa mkuu mpaka nikuambie kila kitu.aya basi nlipata ekari 10 nauza 4 tu!!!
 
Mbuyuni si walisema eneo la viwanda kule
Unazungumza mbuyuni ipi?ya kondoa iyo.mimi eneo lilipo ni maeneo ya mbuyuni kama unaenda singida.kwa lugha rahisi eneo halipo mbali na mbuyuni(nikisema karibu na machinjioni utakuwa umenielewa vizuri).karibu
 
Hii bahati sio ya kuiacha.Hatimae baada ya kukwama kifedha nimeamua kutangaza nauza viwanja vyangu.nina eneo lina ekari nne(4),nauza kwa eka!Bei ya ekari moja ni milioni 6 tu!!Eneo lipo maeneo ya mbuyuni(nkuhungu kwa mbele kidogo) wanaoijua dodoma vizuri watakuwa wamenielewa.kwa wasioijua,eneo lipo dodoma mjini umbali wa kama km 10 kutoka town centre.Ni eneo zuri sana,liko mkabala na barabara ya kuelekea singida.unaweza ni PM,na kwa mawasiliano zaidi here are my contacts<br />Tel:0767833496<br />Email;stevenmasaka@gmail.com<br />
efbb49dfb8e088205235d8edce738688.jpg
 
Mkuu kwani vipi .... Unajua kakwama kwa kiasi gani .......Na unajua kipi anataka kukifanikisha .....??
Haijalishi amekwama kiasi gani, kukwama haipo kwake tu. Hapo tunaangalia property ni ya kwake katafuta kwa jasho, au ni mali ya ukoo/family. Mali ya ukoo ni haki ya watoto, wajukuu na vizazi vijavyo. Ila cjamzua kuuza, ni mind blowing opinion tu.
 
Mkuu we dont have Grounds to Confront.Stop being so Argumentative!I know Exactly what i'm doing
 
Back
Top Bottom