Ofa ya mtoko wa sikukuu ya krismas kwa kina dada.

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,449
2,000
Habari wakuu.

Hii ni ofa maalum kwa kina dada.

Nimepewa taarifa na boss wangu kua nitabewa bonus ya 3.6M kwenye mshahara wa mwezi huu kutokana na kufanya kazi vizuri kwa mwaka huu. Sasa hiyo hela nimepanga kuitafuna tu kujipa raha.

Naomba mtoto mzuri ajitokeze aweze kutafuna hivi vijisenti kuanzia ijumaa ya tarehe 22 hadi usiku wa tarehe 26. Siku 4 tu.

Sharti awe mrefu angalau kuanzia 5.5 feet tall, awe na mkia, sio mkubwa sana wala sio mdogo ila mkia ambao ni visual impresive, awe na nyonyo wastani, sura ya kuvutia na awe msafi. Awe mchangamfu na mcheshi. Awe tayari kufanya full blood picture test.

Awe na ngozi ya asili, rangi yoyote, akiwa na short hair itapendeza zaidi maana mimi haya mawigi na manyele ya marehemu wa kizungu hua hayanibariki kabisa,

Kina dada changamkieni hii ofa ya bure kabisa, lakini pia atakua huru kuchagua kiwanja anachokipendelea kutafunia huo mpunga. Sharti la mwisho awe sex active, sio anapigwa goli tatu anasema amechoka.

Karibuni.
 
wenalitha

Member
Apr 24, 2016
62
125
Kwa mfumo huu ukimwi hautaisha Tanzania.Yani kwa hicho kimilion tatu chako tu unatafuta mwanamke halafu unajidanganya mkafanye full blood test hujui kama virusi vinaweza jificha hata mwezi visionekane.Unahitaji maombi.
 
Mima white cute

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
740
1,000
Her kweli duniani kuna mambo.....tembea huone..unaomtafuta mwenyewe wa kukuchuna VP unakiwanja,umejenga he wazazi wako hiyo krismas umehakikisha umewatosheleza kimahitaji kabla hajapata huyo wa kukuchuna....nakukumbusha tu
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,449
2,000
Kwa mfumo huu ukimwi hautaisha Tanzania.Yani kwa hicho kimilion tatu chako tu unatafuta mwanamke halafu unajidanganya mkafanye full blood test hujui kama virusi vinaweza jificha hata mwezi visionekane.Unahitaji maombi.
Naona umekosa vigezo umeanza majungu. Sitafuni flat screen kama wewe. Pole.
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,449
2,000
Her kweli duniani kuna mambo.....tembea huone..unaomtafuta mwenyewe wa kukuchuna VP unakiwanja,umejenga he wazazi wako hiyo krismas umehakikisha umewatosheleza kimahitaji kabla hajapata huyo wa kukuchuna....nakukumbusha tu
Wewe utawahi kufa, usifanye maisha kua magumu hivyo, kuna family issues na personal issues, this is personal.

Ndio hivyo, mbuzi kufia kwa muiza supu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom