Ofa ya Misrikuboresha mpango mzima wa Dodoma itakubaliwa?

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,586
1,678
Katika ziara yake nchini Misri, Rais Samia alipewa ofa na Wamisri waboreshe plan nzima ya mji wetu mkuu Dodoma, iwe na ubora wa plan ya mji mkuuu mpya wa Misri.

Kwa watu waliotembelea Misri hivi karibuni, kama miye, na wale waliofuatilia plan na ujenzi wa Cairo mpya, watakubaliana nami kwamba ofa hiyo ingepokelewa kwa mikono miwili.

Sidhani kama Tanzania itakuwa na uwezo wa kuiga plan nzima, kwani imewagharimu Wamisri dola $ 50,000,000,000. Ila hata asilimia 10 tu ya plan hiyo tukii adopt tutakuwa na mji wa mazingra ya karne ijayo.

Mji huo mpya wa Misri kwa kweli ni futuristic. Umekusanya na kubuni maendeleo yote yaliyofikiwa hivi karibuni na yale yatakayofikiwa miaka ijayo.

Rafiki wa mazingira, usafiri wa mustakbali na zaidi ya yote wamefikiria hata namna gani ya kutumia takataka zote kwa kuzalisha umeme, kutengeneza mbolea, kutumia upya maji yaliyotumiwa,recircling na nusu yake utaendeshwa kwa nguvu za jua!

Sidhani kama wataalamu wetu wa mipango miji, kwa jinsi ninavyoiona Dodoma inavyoendelea, walikuwa na upeo mkubwa kama huu.

Si vibaya kuiga mazuri ya wengine. Nchi zote duniani zimefanya na zinafanya hivyo. It is foolish and pointless to reinvent the wheel!

Ukitaka zaidi google: New Cairo Capital
 
Tatizo Kubwa la Sasa Hakuna Determination katika nchi, Ukishapokea Vi misaada Uchwara kutoka Kwa Mabeberu...! Basi Watakusakama wewe mpaka Vidole vya Macho Watataka Wakutovuge!!

Si Umesikia juzi EU Wanajadili Juu ya Mbowe.

Sasa sisi tutafanya beberu atakachojisikia na Sio tutakachoamua sisi.Hiyo Ramani Ya Misri itabidi tukaulizie Kwa Mabeberu 'Je inatufaa? '.

WaTz Kazi tunayo..!
 
Kwanza Suala la Usafiri Hata Katika Miji mikubwa Hasa Dara...Mwanza...Arusha na Mbeya ni tatizo kubwa Kwa Kweli ni mhimu Serikali Kuangalia haya masuala kwa Jicho la Tofauti mimi Hasa nailaumu sana Wizara ya Ardhi Squatter zinaoteana kila Uchao hawapimi wala kusimamia upimaji kwa kumshauri Rais vizuri kwamba Tukiendelea hivi na Watu wanaongezeka Miaka Ijayo tutashindwa hata Kusogea km 5 ndani ya Miji hii.....

KINGINE ni Suala La Kufikiria Na Kupanga Njia za Reli Ya Chini tuwe na Ramani hata kama hatuna hela lakini Tuanze japo kupima Njia za Chini kule Uk wanaziita Tube...Zike zitatusaidia Sana maana kutoka mlandizi mpaka Dar ni dakika 40 tu kwa Tube maisha yanaendelea.
 
Ok poa watupe hiyo ofa then watupangie namna ya kutumia maji ya ziwa victoria si ndio? Au kwa akili yako ilivoganda unazan wao watoe tu hiyo ofa bure sio! Za kuambiwa changanya na zako.
 
Wanatupa ofa kwani sisi hatuna plani zetu, wamegundua mama ni mlaini wanataka kila kitu kufanyia majaribio kwetu.
 
Ok poa watupe hiyo ofa then watupangie namna ya kutumia maji ya ziwa victoria si ndio? Au kwa akili yako ilivoganda unazan wao watoe tu hiyo ofa bure sio! Za kuambiwa changanya na zako.

Acha izo mzee,,,kwanini unafanya roho mbaya kwa wenziyo!!! Hata kama wakiomba maji kuna shida gani!!!! Wewe utayamaliza pekeyako? Zaidi ya watanzania milioni 60 + uganda wameshindwa kuyamaliza all years ago, wewe utakufa utayaacha. Acha wapewe wanachohitaji ilimradi mashariti yawepo kuwasumbua na kuwatoza, huo ndiyo udugu.
 
Uwe unasoma unaelew kilichoandikwa then ujibu? Cjasema wanyimwe bali nimesema watakupangia wew namna ya kutumia maji yako, kumbuka hata haya maji kufika mkoani shinyanga ilikuwa mvutenkuvute kipindi mzee lowasa akiwa wazir wa maji ndo aliokoa hilo jahaz hadi leo hii serikali yako inapeleka maji popote, km hujui hilo bas ulikuw mtoto,
 
Sawa, so acha dhana. Kwanza kabisa ziwa liko kwe2 ujanja huo waku2pangia waupate wapi mzee.
 
Katika ziara yake nchini Misri, Rais Samia alipewa ofa na Wamisri waboreshe plan nzima ya mji wetu mkuu Dodoma, iwe na ubora wa plan ya mji mkuuu mpya wa Misri.

Kwa watu waliotembelea Misri hivi karibuni, kama miye, na wale waliofuatilia plan na ujenzi wa Cairo mpya, watakubaliana nami kwamba ofa hiyo ingepokelewa kwa mikono miwili.

Sidhani kama Tanzania itakuwa na uwezo wa kuiga plan nzima, kwani imewagharimu Wamisri dola $ 50,000,000,000. Ila hata asilimia 10 tu ya plan hiyo tukii adopt tutakuwa na mji wa mazingra ya karne ijayo.

Mji huo mpya wa Misri kwa kweli ni futuristic. Umekusanya na kubuni maendeleo yote yaliyofikiwa hivi karibuni na yale yatakayofikiwa miaka ijayo.

Rafiki wa mazingira, usafiri wa mustakbali na zaidi ya yote wamefikiria hata namna gani ya kutumia takataka zote kwa kuzalisha umeme, kutengeneza mbolea, kutumia upya maji yaliyotumiwa,recircling na nusu yake utaendeshwa kwa nguvu za jua!

Sidhani kama wataalamu wetu wa mipango miji, kwa jinsi ninavyoiona Dodoma inavyoendelea, walikuwa na upeo mkubwa kama huu.

Si vibaya kuiga mazuri ya wengine. Nchi zote duniani zimefanya na zinafanya hivyo. It is foolish and pointless to reinvent the wheel!

Ukitaka zaidi google: New Cairo Capital
Hivi haya mahaba na Egypt yametoka wapi? Leo hii our fellow African country inaonekana kama Donner country? Really!
 
Vitu vidogo sana, kuna makampuni kibao na ubora wa hali ya juu ndio kazi zao hizo, wanakupa design ya miji safi kabisa na mji unapangika vizuri, kazi yako ni kufuata plan tuu na kurekebisha vitu vidogo vidogo, miji mingi ya nchi iliyoendelea ndio maana haina slums kwa sababu ya huduma ya makampuni kama haya, hatuhitaji ofa tulipe wataalam wafanye kazi, tena tufanye miji yote kabla haijaharibika
 
Ajabu, leo hii hata setup ya miji tunafikiria kuleta watu kutoka nje?
 
Back
Top Bottom