Ofa ya madirisha ya aluminium na milango

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,915
Habari wadau,
Perfect ALuminium Fabricators inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
 
Ninahitaji square mt 34.4 , utafanya kwa bei gani jumla pamoja na kufunga.
Materials za wapi?
 
Habari wadau,
Infinity works inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
mkuu hii bei ni mpaka na kufungiwa (installation)
 
Milango je?
MIlango inategemea na urefu mkuu, na kioo kama ni mirefu yenye vent na kioo cha kawaida kama cha madirisha na rangi ya bronze ni 320,000 kama ni mfupi usio na vent ni 290,000. hapo nina assume ni milango ya kawaida tu
 
Mikoani gharama zikoje mkuu?

Habari wadau,
Perfect ALuminium Fabricators inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua kuwaleta offer kama ifuaatavyo
Madirisha
5*5 ni 237,000
5*6 ni 284,000
6*6 ni 340,000
6*7 ni 396,000
Offer hii ni kwa wakazi wa dar.
piga simu namba 0620775877/0758358580
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo.
karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom