Ofa ya kutembelea Vatican kwa 200 USD tu

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
6,988
8,498
Kwa wale ambao wanahitaji kwenda kutembelea nchi takatifu ya Vatican kwa kipindi hichi cha PASAKA, ofa imetolewa ni 200 USD tu ikijumuisha Nauli, Malazi, Viza na usafiri wa ndani tukiwa hapo Vatican.
NB: Epuka matapeli, tupigie 0712 377702 (emmy)
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha wapigaji bwana alafu kuna ma bashite watawapata
 
Kweli matapeli utawajua tu, kwenye ule uzi wako ulikuwa unaponda vijana kwa kuchagua kazi na kubweteka, kumbe na wewe ni tapeli tu..
 
Kwa wale ambao wanahitaji kwenda kutembelea nchi takatifu ya Vatican kwa mwezi Agosti, ofa imetolewa ni 200 USD tu ikijumuisha Nauli, Malazi, Viza, Massage na usafiri wa ndani tukiwa hapo Vatican.
NB: Epuka matapeli, tupigie 0712 377702 (emmy)
Hatapeliwi mtu hapa ,kajipange upya
 
Kwa wale ambao wanahitaji kwenda kutembelea nchi takatifu ya Vatican kwa mwezi Agosti, ofa imetolewa ni 200 USD tu ikijumuisha Nauli, Malazi, Viza, Massage na usafiri wa ndani tukiwa hapo Vatican.
NB: Epuka matapeli, tupigie 0712 377702 (emmy)
Shikamoo tapeli
 
Back
Top Bottom