Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

Kikubwa jiamini kama vilee umemaliza six ikibidi hata shule ukiulizwa danganya tuu,,,Sababu usaili mkifika mtafanya upyaa yan ili wawe na idadi yenu
Unamuingiza choo cha kike mwenzio. Makambini kote wanakuwa na majina, idadi na shule walizotoka. Kwani mwanafunzi aliyemaliza form six anajuaje kuwa kapangiwa Mafinga JKT na sio Ruvu au Mlale? Hayo majina si soft copy tu, unadhani kambini hayapo? Watamdaka vizuri tu.
 
Wewe unakiwanja polisi hadi anunue kiwanja ajenge ni ligi sio bure kuna kitu labda umekiona huko kwenye majeshi.
 
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.

najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa.

View attachment 1898297
Utapigwa, usirud kulalamika humu
 
nimezihangaikia sana hizi nafasi...yapata miaka 10 sasa tokea nilipo maliza kidato cha nne...mwaka jana nikabahatika kwenda jkt lakini bahati haikuwa yangu tukarudishwa nyumbani...kidato cha nne na la saba walirudi sisi wengine hadi leo tunasubiri kudra za mwenyezi Mungu...kwa kweli nimehangaika nimeenda hadi dodoma kupeleka maombi...ajabu ata kwenye interview siku itwa....

baba yangu amehudhunika zaidi hadi roho imeniuma...lakini bado sija kata tamaa pengine sijaandikiwa kwenye majeshi...nitafanya mambo mengine na nina uhakika ipo nafasi yangu nzuri sehemu ambayo mimi sijaijua...enh Mungu fungua akili yangu niyaone ninayo yamudu ....uniondolee tamaa ya vitu nisivyomudu kuvipata
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
Dah pole mwaya but kama unania kweli pigania unachoamini hakuna aijuaye kesho muamini mungu tu
 
Unamuingiza choo cha kike mwenzio. Makambini kote wanakuwa na majina, idadi na shule walizotoka. Kwani mwanafunzi aliyemaliza form six anajuaje kuwa kapangiwa Mafinga JKT na sio Ruvu au Mlale? Hayo majina si soft copy tu, unadhani kambini hayapo? Watamdaka vizuri tu.

Ninaongea kitu ambacho nina uhakika nacho na wapo waliofanya hivo na vyeti wamepata
 
Hivi ile project yako ya kilimo cha nyanya ikawaje tena ? ? Ulinihamasisha kwenye ile thread.
bado...naendelea ila kwa sasa nimesimama kwa muda....mwenye lile eneo aliamua kulitumia kwa kulijenga...ila bado maarifa yapo kichwani
 
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.

najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa.

View attachment 1898297

Nafikiri kuna watu ulikuwa unawatafuta yaani huu uzi ni Mission umetumwa uwatafute watu wako
 
Back
Top Bottom