Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

Kwahio chief kumbe kwa madaktari unaweza ukishaingia kwenye system ya upolisi kama daktari baadae ukaongeza elimu kwenue mambo ya forensic nayo unakua umeula vilevile
 
Kwahio chief kumbe kwa madaktari unaweza ukishaingia kwenye system ya upolisi kama daktari baadae ukaongeza elimu kwenue mambo ya forensic nayo unakua umeula vilevile
Mapema tu, sababu unatakiwa kulipwa posho ya utaalamu wa udaktari na posho ya utaalamu wa forensic. Ambayo kwa haraka haraka mshahara unaweza kufika hata million na kilo 7 hivi.

Achana na rushwa na maposhoposho na marupurupu mengine.
 
*kabisa * mchawi connection hata kama una futi 4 urefu
Kuna mjuba siku ya interview hatukumuona hasa ile oral ndio hakutokea Kabisa angetokea angeulizwa umepitaje inaonekana vigezo hana Kabisa kwaiyo kichafanyika alikuwa anatokeaga baadhi ya sehem kma mabaara cku ya kupima .ina maana ssi tupo kma vivuli baadae tunakatwa watu wanareplace watu wao
 
Haha..mwamba ameenda kwa ajili ya vipimo tu kwengine hahusiki duh,,
 
wajuba mmenikataa...mdogo wenu....kweli haya maisha hayana usawa...wengine tunahanaika kupata hizi nafasi kuna wengine wametulia tu nyumbani....wala awana shida na awahangaiki na nafasi wanapata
 
Kama umeweza kupambana na kupata kiwanja ni dhahiri shahiri kuwa wewe ni mpambanaji.... Ukiendelea hivyo after 10 years Utakuwa na level kubwa snaaa ya maendeleo!

Usitafute kazi zenye limitations za maisha!
 
wajuba mmenikataa...mdogo wenu....kweli haya maisha hayana usawa...wengine tunahanaika kupata hizi nafasi kuna wengine wametulia tu nyumbani....wala awana shida na awahangaiki na nafasi wanapata
Mkuuu ulifanyia kazi ushauri uliyopewa na LaRosa kuhusu kwenda kupiga udemy izi mambo Open Source Intelligence (OSINT),Forensics na Cyber security?

Nakumbuka kuna mdau alikushauri humu!, coz Kuna jamaa yangu nilimshauri nae baada ya kuona huu uzi, amenimbia wamempa feedback...
 
kuna mmoja nachat nae kwa meseji ila haingiliki kaka...nimemwambia anisaidie ananiambia vigezo tu ndio vitakavyo nibeba..nielekeze jinsi ya kumpanga labda mimi nakosea...
Umeshaambiwa vigezo ndo vitakavyokubeba sasa si umuulize ni vigezo vya aina gani vinavyotakiwa
Ili akusaidie?????

Kama diploma degree Master's form four n.k peleka vyeti vyako kama ulikimbia shule rudi shuleni uanze kupiga kitabu upyaaa
 
kama ipo connection....nisaidie...kuliko niendelee kuteseka kwenye sekta binafsi bora hiyo ya magereza
Home boy muda umekwisha wa PT watu wanasubiri PDF ya majina yaliyokuwa selected kutoka makao makuu jaribu fire uhamiaji na magereza may be bahati itakuwa upande wako pia magereza wameshaanza pigiwa cmu kwa tanga sijui lkn ..
 
Back
Top Bottom