Hommie sa hiyo ICE inawekwa Kitandani? au unailamba joto likizidi?Mkuu ICE si barafu na joto la Dar hiyo ni kiboko ya jasho
Hommie sa hiyo ICE inawekwa Kitandani? au unailamba joto likizidi?
Mkuu ulipotuacha jana ndio ulienda huku kufanya booking mapema tuwe tunaambiana mapema basi
Hommie sa hiyo ICE inawekwa Kitandani? au unailamba joto likizidi?
Habari bana........
Ntumie number ya Eliza wa hapo nadhani kwangu itakua rahisi sana kufanya booking...:hungry:Hahahahahaha hilo Punguzo la bei toka 30000-15000 si mchezo mpwa
Hiyo unalamba lamba hommie huku ukiburudika
Noted with many thanksNitakutumia kwa PM
Pesa za Hotel hatuna....sa tuende wapi?Acheni kwenda GH
Habarii bana leo sijui watu wameenda wapi inaonekana mkoloni tineja kakamata watu vibaya