Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Pombe pombe ukishalewa inakuwa noma!
hahahhaha. akija kesho tangazo litakuwa vilevile. haitafika hiyo keshoLala hapo hapo...! Kesho unaweza kuta pameshajaa
Mabaharia uwa ni kufata kitanda home, na kufanya mkesha hapo hapo!Pombe pombe ukishalewa inakuwa noma!View attachment 1484567
Kwa jinsi anavyoonekana huyo jamaa hata kama aliondoka karoho kalikuwa kanamshawishi kurudi.
Yaani acha tu Mtani.Shetani ana nguvu ya ushawishi
Vitu vingine mwamsingizia tu shetaniShetani ana nguvu ya ushawishi